Sera ya Faragha
Tarehe ya kusasishwa:
1. Maelezo Tunayokusanya
Tunapokusanya taarifa zako, tunakusanya:
- Taarifa za kibinafsi (jina, umri, mahali)
- Mawasiliano (email, simu, WhatsApp)
- Picha za profile
- Taarifa za malipo
2. Jinsi Tunavyotumia Taarifa
Tunatumia taarifa zako kwa ajili ya:
- Kukuunganisha na watu wengine
- Kusimamia akaunti yako
- Kuchakata malipo
- Kuboresha huduma zetu
3. Usalama wa Taarifa
Tunachukua hatua za usalama kuhakikisha taarifa zako ni salama:
- Passwords zimefichwa (encrypted)
- Servers salama
- HTTPS encryption
- Ufikiaji umepunguzwa